Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Linatakiwa lizunguke kama feniUno uno au uno gani?
Uno lako lina utata kidogo
Wakuu vipi,natumaini mko poa na hii wkend tulivu isiyokuwa na bashasha.
Kwa mtazamo wangu wkend haiwezi kwenda au kuisha vizuri kama hukupata uno kwa mwenzi wako.Miaka ya nyuma kidogo kuanzia siku ya ijumaa n.k watu wengi walikuwa wanatoka mikoani, wanakuja jiji la maraha kwa ajili ya uno. Haijalishi unapiga pombe, soda, juisi, maji lakini mwisho wa gemu ilikuwa ni uno. Kweli bila uno...hapa duniani pangekuwa pagumu pa kuishi.
ha ha ha utaziweza mkuu?Ah kabisa mwana yaani mie natafuta pesa iliniwe na uhakika wa kupata uno tatu tofauti kwa wiki
Kwa nini nishindwe kaka wakati ile ni starehe... Unapiga monday thursday sunday... Hamna kukomoana ni full raha tuuha ha ha utaziweza mkuu?
Misijui kuzungusha..uno....NAJITAHIDI LAKINI WAPI.. itabidi niende nikamuone kungwiLinatakiwa lizunguke kama feni
Kumbeee nilikuwa sijuiLinatakiwa lizunguke kama feni
pale unapopapendaKumbeee nilikuwa sijui
Lizunguke wapi?
leta tulioneMisijui kuzungusha..uno....NAJITAHIDI LAKINI WAPI.. itabidi niende nikamuone kungwi
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ningekuwa niko karibu na wewe,ungenionyesha uwezo wako
Uwezo wa kuwaza mauno?, hapana wewe umenizidi sana tu mkuu.ha ha ha ningekuwa niko karibu na wewe,ungenionyesha uwezo wako
ha ha ha maisha yenyewe mafupi,furaha ni muhimu zaidi
Ahaaa kumbe paleeee okeeee ngoja nianze zoezipale unapopapenda
KumbeeeUno la harmonize