Haya maisha bwana, sasa tunywe nini kama soda zinazeesha?

Haya maisha bwana, sasa tunywe nini kama soda zinazeesha?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1634706166260.png
 
Hahaha unakunywa kachupa ka 200mils kale ka IMAGi kadogo mbona safi!
Ni buku 4 tu kwa sasa
Rafiki yangu alikua anaji control kunywa wine. anamimina kwenye glass anakunywa ikiisha anamkuta mwanae amjazie glass. Mtoto aliitwa kila baada ya nusu saa mpaka chupa inakwisha.
 
Rafiki yangu alikua anaji control kunywa wine. Anaamini a glass anakunywa ikiisha anamkuta mwanae amjazie glass. Mtoto aliitwa kila baada ya nusu saa mpaka chupa inakwisha.
Anunue vi wine vidogo vile! Kama nilichokwambia hicho hata akikimaliza hamna tatizo!
 
Tangu nigundue Le Mutuz anakaribia 70, na bado anakuwa na totoz, hivi sasa nimeacha kabisa kuhofia kuzeeka hata kama haters mtasema Le Mutuz ni Mshika Pembe tu yule !!
 
Nilikuwa mlevi wa soda (pepsi), badala ya kuhisi kiu ya maji mie nilikuwa nikihisi kiu ya soda.
Ila huu mtihani nimeufuzu, nina miezi 6 sijagusa soda nimeacha kabisa....Kuku wasio wa kienyeji na mayai yake [emoji724]
 
Hapo kwenye soda ndo changamoto niliyonayo, tena hiyo hiyo pepsi, kila siku lazima ni push pepsi big 1 ya baridi sana ndio roho yangu inasuuzika.

Nisipofanya hivo naskia kiu kabisa labda ninywe maji mengii ya baridi ndio kiu ya soda kidogo inaweza pungua, hii ndio wazungu wanasema "killing you soft", ulitumia njia gani kuacha?
 
Hapo kwenye soda ndo changamoto niliyonayo, tena hiyo hiyo pepsi, kila siku lazima ni push pepsi big 1 ya baridi sana ndio roho yangu inasuuzika, nisipofanya hivo naskia kiu kabisa labda ninywe maji mengii ya baridi ndio kiu ya soda kidogo inaweza pungua, hii ndio wazungu wanasema "killing you soft", ulitumia njia gani kuacha?

Niliamua na kusimamia maamuzi yangu, kila kitu ukiamua inawezekana..Kiufupi nimekuwa muumini mkubwa wa vyakula visivyo na mambo mengi.
 
Tangu nigundue Le Mutuz anakaribia 70, na bado anakuwa na totoz, hivi sasa nimeacha kabisa kuhofia kuzeeka hata kama haters mtasema Le Mutuz ni Mshika Pembe tu yule !!
Kwani Billionaire Mengi aliyemuoa miss Tanzania alikuwa kijana?

Hela, hela, hela, hela.
 
Back
Top Bottom