Haya maisha haya! Acheni tu

Sawa mkuu, binafsi nimekuelewa
Haya basi, lete namba yako kule PM
 
Siyo rahisi hivyo mdogo wangu,it seems wewe bado upo chuo
 
Nilitaka nimpe mchongo wa kazi
Lakin tayari mdau kanifumbua macho
Kanusha au thibitishi tuhuma alizo andika mdau hapo juu,unifuate pm
Amesha tolea ufafanuzi hapo juu kwenye post #40..
 
Tujitahidi kutumia hizi ID katika mazingira yasiyotia shaka!!!
 
kamati ya Roho mbaya Kama kawaida haijawai kumuacha mtu salama usiombe ikuvalie njumu utaumbuka
 
Njoo pm
 
dah mkuu mbali na kumchimba but naiona nia yako katika kumsaidia,Mungu akuzidishie.

ashindwe yeye sasa.
Nikweli mkuu....
Nami nina mabaya yangu, pia niliwahi kukosea marakadhaa kwa bahati mbaya ama makusudi.
Lakini sikuwahi kufurahia vile nilivyo hukumiwa eti kwasababu niliwahi kukosea.
 
Kiukweli wewe ni mtu usie na choyo na mafanikio ya watu
 
Mrejesho.

Baada ya kupost uzi huu Kuna watu walinifuata PM kwa Nia ya kunisaidia.
Nichukue fursa hii kuwashukuru wote kwa moyo wenu na nimetambua kuwa duniani bado Kuna watu wema ambao wanaweza kukusaidia hata Kama hawakujui.

Shukrani za kipekee zimwendee mkuu Ushimen ambaye alinitafuta na tukakutana akanipa mchongo.

Ingawa bado mchakato unaendelea, ila Kuna matumaini ya kufanikiwa.
Maneno machache ya kumwelezea ni kwamba Ushimen ni msamaria mwema na anayependa kuona Kila mtu anapata anachotamani. Nashukuru sanA wakuu kwa kunipa matumaini pindi naelekea kukata tamaa. Mungu awabariki nyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…