Lagrange JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 2,441 Reaction score 2,878 Oct 28, 2020 #61 Ushimen said: Ebu ngoja nikupe connection... Upate kirikuu. Na kama ukifanikiwa, utaleta hesabu ya ngapi kwa siku..?? Are you sure kwamba ukipata utauza simu na upate leseni..?? Na what if akihitajika mdhamini, utakuanae..?? Naomba namba yako ya simu nikupigie. Click to expand... Mkuu lamda umsaidie kupata leseni ,kupata lesen ya kuweza kuendesha kirukuu ni daraja E , Kwa elfu sabini hawezi pata hiyo leseni.
Ushimen said: Ebu ngoja nikupe connection... Upate kirikuu. Na kama ukifanikiwa, utaleta hesabu ya ngapi kwa siku..?? Are you sure kwamba ukipata utauza simu na upate leseni..?? Na what if akihitajika mdhamini, utakuanae..?? Naomba namba yako ya simu nikupigie. Click to expand... Mkuu lamda umsaidie kupata leseni ,kupata lesen ya kuweza kuendesha kirukuu ni daraja E , Kwa elfu sabini hawezi pata hiyo leseni.