Sawa mkuuNi rahisi kwa sababu nimepitia maisha ya dhiki ya kiafrika. Wala sijaandika kuburudisha.
Fundi yoyote junior anapitia hilo hakuna fundi (senior)utakaye fanya nae kazi akupe nusu ya sehemu yake ya malipo. Sasa shukuru sana umepata hiyo knowledge zidisha zaidi nawe uanze kujitegemea, mimi nilisoma hiyo mechanical ila si VETA nimejitolea sana SONGORO MARINE, SAAB SCANIA, TBL acha mzee miaka ya nyuma huko.kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundí nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyé kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
Sasa kumbe hauko na experience's yeyot...Sina experience ya kwenda nje...
Sijawahi kutoka..
Sio motivation speaker mie
Kama ulielewa mada vizuri na ndo ukajibu vile..... Basi wee kweli The Knowledge Seeker
Sawa sawa...Sasa kumbe hauko na experience's yeyot...
All in all ukiwa na nia hakuna kinachoshindikana
Yani ningejua huko unako sema kwakubebea zege mapema tuu ningeenda mana kazi zanguvu naziwezaKijana wangu bado mapema sana kukata tamaa 24yrs wewe bado kinda Sana na huo ndio umefika wakat wako wa kustruggle badala ya kukaza wewe ndo unaanza kukata tamaa?why
Jikumbuke umezaliwa wa kiume upambane,usisubiri tu michongo ije..zama posta kapige vibarua vya zege huku unaendelea kuitafutia fani yako pa kuiweka ,usisubiri siku iishe bila kuingiza pesa yoyote.Kuna wenzako Wana matatzo makubwa kuliko wewe..hivi huwaoni walemavu na ombaomba ,tazama wagonjwa na wengine walio na mattzo kuliko wewe.tatiz lako unaangalia walio juu yako Kisha unajikatia tamaa!
Tumepitia mengi kijana hakuna mafanikio kwa kulalamika tu.
Tatiz lako ulikariri ukitoka tu veta utapata kazi ya fani yako kumbe mtaani hapako hivyo! Tafuta kibarua chochote mdogomdogo utatoboa kwa rizki yako bado ipo.
Kaza kijana wangu,asubuhi ikifika amka nenda mjini katafute vibarua hata vya ujenzi.kesho usisubiri chai nyumbani kwa ndugu safar yako ya maisha itaanzia hapo dogo.
Amka,pambana
Usichanganywe na vijaa wenzio wanaovaa pamba Kali na kumiliki mademu wakali.
KabisaMichael Jackson - You are Not Alone.
Huwezi kubeba zege wewe, kazi unayoweza ni kushinda mitandaoni kutukana watu basi. Wekeza nguvu katika matusi ya mitandaoni utatoboa dogo.Yani ningejua huko unako sema kwakubebea zege mapema tuu ningeenda mana kazi zanguvu naziweza
🤣🤣🤣🤣nielekeze Ile sehemu yakuenda kumenya viazi basiHuwezi kubeba zege wewe, kazi unayoweza ni kushinda mitandaoni kutukana watu basi. Wekeza nguvu katika matusi ya mitandaoni utatoboa dogo.