AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kazi kupata sio rahisi km umezaliwa bila connection jichanganye hata kwa wachoma mageti shika waya saidia fundi atakupa hata buku buku 2 usisubiri kazi za ofisininimejifunza lakini kazi kupata ngumu
Akufe tu ...useless kabisaKujiua siyo Zambi. Inaweza kuwa dhambi.
Wewe ni mpumbavu. Sioni aya kuwaeleza wapuuzi wasiojitambua kuwa ni watu wasio na akili.
Ulikuja na wenzako hapa duniani? Kwa nini ujilinganishe nao? Kwa hiyo hapo baadae mwenzako akiwa Rais, utajiua kwa sababu wewe siye?
Bwana mdogo, kila mmoja ana njia yake. Mungu ndiye anajua hatma ya maisha ya kila mmoja. Wapo waliofeli la saba, ila ni waajiri wa wenye Shahada za Uzamili.
Ujuzi ulioupata VETA una manufaa makubwa kuliko Shahada walizopata wenzako, endapo tu utajitambua.
Miaka 24 si haba, ila si ya kulakamika kwamba umechelewa. Wapo wenzako wana miaka 35 na Shahada zao na bado sabuni wanaomba kwa mama zao.
Ujuzi ulioupata uutumie katika kujiletea mafanikio. Kilichobaki ni wewe kujitambua na kuacha kujilinganisha na wenzako.
Ila kama unaona akhera kuna unafuu, kajiue. Kuna njia 1000 za kujiua. Mtu asiyejitambua hata haamini katika uwepo wa Mungu.
Enenda tu Mbwa wewe .
sio aibu wewe ndio unakuza mambo,vp mzimu umekutokea ukasema kujiua ni dhambi?Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Usichokijua ni kwamba Kuna wenzako wenye degree na masters na wanakula msoto nini veta bwana!! Na kingine huko unakotaka kwenda kwenye ibada siku hizi wanahubiri sadaka tu unless ni dini ya munyaazi mungu na hivyo ulivyokuwa huna pesa ndio watakuua taratibu kwa depression huku unajionaWakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Madogo wa siku hizi ni wa hovyo.Akufe tu ...useless kabisa
Michael Jackson - You are Not Alone.
Uzazi ndio unatoa Ajira ?Suluhu la hii kesi y ajira ni kupanga uzazi
daa kweli ndio mana watoto wengi wakizaliwa wanaanza kulia bila sababu.wanajua mbeleni chamoto watakionaUsichokijua ni kwamba Kuna wenzako wenye degree na masters na wanakula msoto nini veta bwana!! Na kingine huko unakotaka kwenda kwenye ibada siku hizi wanahubiri sadaka tu unless ni dini ya munyaazi mungu na hivyo ulivyokuwa huna pesa ndio watakuua taratibu kwa depression huku unajiona
sawa bro
Wacha ufala wewe. Mimi mpaka leo 35 nipo kwetu yani wewe 24 unajutia maisha? Acha mambo ya ajabu jombaa.Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Kesho toka nyumbani km kichaa anza kutembea ofisi moja baada ya nyingine nakwambia haifiki jioni umepata kazi Kuna watu wanaohitaji watu wa kazi sema vijana mnachagua kazi weka mechanics pembeni nenda kaungane na fundi furniture msaidie kulanda mbao jioni atakupa chochote na hapo ndio unaanza kujifunza taaluma nyingine, usikae ndani km utumbo utakufa njaa toka njedaa kweli ndio mana watoto wengi wakizaliwa wanaanza kulia bila sababu.wanajua mbeleni chamoto watakiona
Vijana badilikeni kifikra. Hamna ajira iliyo bora duniani kama kujiajiri. Umewahi kumwona tajiri aliyeajiriwa labda awe mwizi au fisadiWakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha