Haya maisha sio poa kwakweli

kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundΓ­ nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyΓ© kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
 
Acha kujilinganisha na watu, kila mmoja ana njia yake na muda wake wa mafanikio.
 
Alooooooooooo.
jf watu waliojikatia tamaa wanazidi kuongezeka kila kukicha.
sema ni vizuri maana huku ndo sehemu atleast unaweza kupata mawazo rafiki.


Hakuna ujuzi wa bure sema shida ni namna yakuugeuza ujuzi kuwa pesa
.
Hata waliopo vyuo wakimaliza kama hawana growth mindset basi wanaishia kulialia.
hivyo jitafakari upya mkuu ni wapi unakwama.
 
Skia chalii nikushauri Sasa!
Piga kazi yeyote halali pasina kumuanya raia mtu yoyote (sijui tofauti kati ya yeyote na yoyote mi mchuga)

Elimu inakolea vizuri ukishajua kutafuta kibunda

Ukishajua kubeba zile tofali za kerai huku chuga tunazijua ukachanganya na elimu yako unaweza ukasogea
 
Akili yako bado changa,endelea kupata malez kwa wazaz.. Hata yesu anaishi kwa mshua wake hadi sasa!
 
Rahisi sana kuandika kama hivi
 
kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundΓ­ nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyΓ© kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
Hata huyo aliyechukua million alianza kustruggle. Hazikuja tu weka bidii kwanza kwenye kazi ndani ya miaka mitatu hata mitano mbele utaona matunda.
 
Kama ndoa ilivyo utapeli na elimu ya juu imekuwa utapeli pia.
 
Utoto
 
hiyo ni roho! miaka 24, bado ni umri mdogo sana. njoo kanisani (kwa waliookoka kwa kumaanisha, tukuombee) utapata mwanzo mpya. pole


YESU NI BWANA & MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…