watu wanasoma hadi vyuo vikuu, halafu michongo inakataa anaamua aende veta, na anajilaumu sana kwanini hakwenda kabla. Tatizo hawa madogo wa wanaona kaka zao walipata hela kwa usiku moja.Dogo unazingua, unaweza ukasoma chuo kikuu na bado usitoboe vile vile.
We jiue tu bana
Yahn wewe miaka 24 unalialia hivyo watu tuna 27 hafu safi tu.....umri bado komaa acha uzembe hafu punguza expection ili usiwe na stress pia usijilinganishe na watu..Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Anamaanisha mabao kama haya hayakuhitajika😀Uzazi ndio unatoa Ajira ?
Tunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivuwatu wanasoma hadi vyuo vikuu, halafu michongo inakataa anaamua aende veta, na anajilaumu sana kwanini hakwenda kabla. Tatizo hawa madogo wa wanaona kaka zao walipata hela kwa usiku moja.
Hii imeenda😀Tunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivu
Acha uboya wa kutumia majina ya kukata tamaa,kama hukuenda kucheza veta,ama hukulazimishwa kuna siku utaona faida yake,ila ni pale utakapo amua,kwani inaonyesha ulisha upoteza utulivu wa akili,ama kwa kuzongwa na yasiyokuwa ya lazima kwako,ama mazingira uliyoyapitia kibinadamu.Ila jua mafanikio yeyote yanakuja kwa kuwa na utulivu wa akili.Miaka 24 bado mtoto,fikiria mtu anatusua kwenye miaka hata 50, keep fighting or die trying 🏃🏃🏃Wakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Shida wanajipeleka kuzongwa na yanayowazidi umri,hapo unaweza kuta chanzo,kama si mapenzi,ulevi,au uvivu au tamaa ya mafanikio ya haraka 🤔Tunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivu
Kupanga uzazi itasaidia ku controll population. Tz tunazaliana sana yan kama panya,, hii inasababisha watu kuwa wengi na fursa kujaa (oversaturation of labour).Uzazi ndio unatoa Ajira ?
Kujiajiri n kuzuri ila sheria za kodi hii nchi ni ngumu mno. Just assume mm nmekodi frameVijana badilikeni kifikra. Hamna ajira iliyo bora duniani kama kujiajiri. Umewahi kumwona tajiri aliyeajiriwa labda awe mwizi au fisadi
Usikate tamaa
Changamoto sanaTunapoelekea sijui watoto wetu watakuaje, akili.zero na hawana uvumilivu
Kwa sauti ya "chiefgodlove" a.ka mwakibete aliyechangamka!!!!Toka magetoni
umri huo mimi nilikuwa nimeishamaliza chuo ngazi ya diploma na nimehama nyumbani kutokana na masimango....unapokuwa unapambana na maisha tengeneza rejection spirit ya kuwa kuna watu wanafurahi na wana tamani waone unateseka...mimi ni muislamu lakini nimewahi kubeba kreti za pombe kwenye kampuni ya biaWakuu ingekua kujiua sio dhambi ningejiua tuu maana sasa maisha yananinyoosha
Najuta kwanini sijasoma wenzangu wanamaliza mwaka wa mwisho chuo Mimi sina lolote la maana dah
Najiona mjinga sana kwanini nilienda veta kupoteza miaka mitatu Bora ningelima au kuanzisha biashara ningekuwa mbali kidogo
Hata chakula sitamani kwa mawazo dah
Yani sielewi asubuhi niende kuomba kazi wapi aisee
Ngoja tu niache dhambi kama miaka miwili niwe mtu wa ibada kwa sana then najigongesha road niepukane na haya mahangaiko
Haiwezekani miaka 24 bado tuu nategemea ndugu ni aibu mtoto wa kiume
Hyo gari mlikua mnatengeneza ktu gan mpaka mteja akalipia million?kweli mkuu.juzi nilienda sehemu kutengeneza gari nikachafuka sana maoli tele fundí nilie msaidia akanipa buki tano tuu haliyakuwa yeyé kachukua milioni na ushee
nilijitukana sana mjini nafanyanini Sasa?
Nahisi nafuu ni ada.Pole sana mkuu, mbona wanasemaga Veta ni nafuu...