Haya majaketi Ruto na Raila wanavaa mara kwa mara ni bullet proof

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Msaada wenu. Naombeni kuuliza haya majaketi Rais Ruto the fifth na mpinzani wake Raila wanavaa mara kwa mara ni bullet proof au Ndo fashen mpya? Au ni baridi inazuia?


 
Labda wanaogopa yasijewakuta kama yale ya waziri mkuu wa zamani wa Japan aliyepigwa risasi juzi-juzi tu hapa akiwa kwenye kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…