Haya maji yanayong'arisha Wasanii ni yapi?

View attachment 2971522
View attachment 2971523

Ray kigosi aliwahi kusema wanakunywa maji mengi sana kubadili rangi ya ngozi, ni Maji haya ni yapi?
Picha ya juu ni mtoto wa Tandale akiwa Tandale, ya chini ni akiwa Mbezi Beach.

Kuna watu wanaonekana weusi kutokana na kuoga maji ya kopo kwenye passport size, uchafu hauishi, mwili hautakati, lakini ukipiga shower, hot bath, sauna, jacuzzi, uchafu wote kwisha, unang'ara!.
P
 
Hapa kuna ukweli mkuu. Hongera umejibu kisomi sana.
 
Kuna Hotel fulani Zanzibar niliwahi kuingia kwenye Jaccuz yaani uchafu wote ulikuwa unaelea kwenye kingo za Jaccuz nikajua kumbe kuna kuoga na kujiswafi. Kwenye Jaccuz unajiswafi aisee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Halafu muda mchache sana wa kupigwa na jua la utosi....akitoka ndani tu ameingia kwenye ndinga full AC then anashinda studio au lounge akitoka hapo usiku ,hapigwi na jua kabisa.
 
Oya sio diamond huyo wadogo zangu, enzi za ujana wengine tulikua deadly kumfatilia mwamba, huyo sio yeyeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
Tafuta hela kula vizuri oga, uso ufate shape, io ufate shape ya fuvu, kula chapati, tengeneza shingo, Rangi nayo itanawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…