mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Nimeshangazwa sana na taarifa ya matokeo ya kidato cha nne,uchungu ulizidi ikabidi nicheke ili niupunguze kidogo....nilijua ni mwonekano wa kimavazi tu wa nje....ile kupiga mlegezo kumbe mpaka akili zimelegea........! Na nyie wazazi? Alaaa hawa watoto wa wazazi kabisa ndugu zangu...kama leo wanaandika verse za bongo favour kuna siku wataku******* ndani ya chumba cha mtihani na watajisafishia karatasi ya maswali.....hii ni dharau elimu imekua haina thamani tena , watoto hawaoni umhimu wake kabisa......Mi sijui nifanye nisaidie wanamaliza kidato ila nasikia uchunguuuuuu!:A S 465: