mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
hii ya miujiza maarufu kama 'prosperity gospel' haikuhubiriwa na wamisionari.....Dini tumeletewa.
""mama huyu anasema nyuma hakuwa na kazi wala nyumba na elimu yake ni darasa la saba lakini baada ya kuanza kutumia mafuta sasa amepata nyumba na kazi..."""
Serikali inawalea hawa na kibaya zaidi wanawafanya waumini wajinga kinyama.Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote......
Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza..... labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho........
ila we jamaa dahπ πππ""mama huyu anasema nyuma hakuwa na kazi wala nyumba na elimu yake ni darasa la saba lakini baada ya kuanza kutumia mafuta sasa amepata nyumba na kazi..."""
""aposto kuna mujiza huku..."
Dhambi haina haya.Pamoja na yote yanachangia kuibadilisha Jamii iwe na tabia njema. Mtu akiwa mfuasi angalau ataona aibu kufanya dhambi
Aiseee!!!!""mama huyu anasema nyuma hakuwa na kazi wala nyumba na elimu yake ni darasa la saba lakini baada ya kuanza kutumia mafuta sasa amepata nyumba na kazi..."""
""mama huyu anasema nyuma hakuwa na kazi wala nyumba na elimu yake ni darasa la saba lakini baada ya kuanza kutumia mafuta sasa amepata nyumba na kazi..."""
Mmmmh! Hao mitume na manabii hawahubiri chochote kuhusu toba na ondoleo la dhambi wao wanasisitiza miujiza ya utajiri afya na ati siku hizi hata umeme nao unaombewa usikatike na Banka nazo hupigwa miujiza na mara huwa Matango nionavyo mitume na manabii wamesababisha uwepo wa uvivu umaskini na ujinga wa sgr miongoni mwao wanajamii si ajabu kumwona kahaba akienda kwa nabii au mtume akitaka muujiza wa kupata Madanga wa kizungu na wenye pesa bila shaka nabii atasema bwana na akupe hitaji la moyo wakoPamoja na yote yanachangia kuibadilisha Jamii iwe na tabia njema. Mtu akiwa mfuasi angalau ataona aibu kufanya dhambi
[emoji1][emoji1]Mmmmh! Hao mitume na manabii hawahubiri chochote kuhusu toba na ondoleo la dhambi wao wanasisitiza miujiza ya utajiri afya na ati siku hizi hata umeme nao unaombewa usikatike na Banka nazo hupigwa miujiza na mara huwa Matango nionavyo mitume na manabii wamesababisha uwepo wa uvivu umaskini na ujinga wa sgr miongoni mwao wanajamii si ajabu kumwona kahaba akienda kwa nabii au mtume akitaka muujiza wa kupata Madanga wa kizungu na wenye pesa bila shaka nabii atasema bwana na akupe hitaji la moyo wako
πππππ
Ninyi mnaotusema ma-aposto tunaenda kufunga kwaajili yenu.
Tutaangusha Ngome na madhabahu zenu za kishetani.
Chanzo Cha kuibuka kwa dini za kimitume. Naweza sema NI mgogoro wa TAG na EAG(T).Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote.
Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.