Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji huduma yake amfate mahala na wawe na vibali.