Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Ila kwani we ukisikia blockchain hua unaelewa nini mjukuu wangu?
 
Hongereni sana [emoji23] kwa ulivyomuita nina imani amesikia...


Nampenda ila sijawahi mpiga tofali [emoji23] akinikasirisha nafuta namba na mapicha picha yote. Tukiwa sawa naanza kuomba picha upya tu.

Daaaa aiseee wewe ni kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…