Huo ni ujinga wa jitu jeusi Wala sio milaUkireta usomi sana na dini sana unakua mpumbavu na ndo
Maana wasomi na washika dini wengi ni maskini wa akili na fikra
Sasa ww mleta uzi ni mjinga na ni mshamba km utaki tamaduni na mila zako ww ni viazi
Na tusipende kutafuta ubaya kwenye kila kitu vingne achana navyo vipite
Hayo yapo miaka yote… hayajaanza jana wala juziKazi za watu hizo ndugu yangu, huwezi amini kiasi cha gharama zilizotumika kuandaa hilo onyesho.
Wakuu!
Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu?
Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi?
Kila kabila lina namna ya kufanya mambo yake ya mila na tamaduni zake. Haya mambo pichani yanaonyesha hadharani mambo ya Kishirikina.
Sijui tunaelekea wapi yaani mambo kama yanaoneshwa hadharani mbele ya Mkuu wa nchi. Kwa faida gani na kwa sababu gani?
View attachment 3377544
View attachment 3377547
Ili Tujue analindwa na majini na hao mazimwi.Ni upuuzi na ujinga tu yaani hapo mambo ya Kishirikina live kabisa 😥
SIMPENDI MGENI RASMU LAKINI KWA HERUFI KUBWA NAKUUNGA MKONO.Ukireta usomi sana na dini sana unakua mpumbavu na ndo