Haya mambo yana faida gani mbele ya Rais?

Ukireta!????πŸ€”
 
Umekunywa Chai Kijana
 
Wasukuma tuna omba kujua maana ya kinacho endelea hapa.
 
N faida kwa hao waigizaji mana wamejipatia chochote kitu cha kuweka mfukoni
 
Hayo ndio maisha ya wapiga kura wake, kwanini yeye awe tofauti? We nini kinakukwaza hapo hujui kuna wizara ya utamaduni?
 
Mleta uzi unazingua sana, huna tofauti na zile raia zinazotoka kijijini zikafika town zinaanza kujidai hazijui kuongea kikabila chao.

"Jasiri haachi asili"
Utamaduni wako inakuwaje unaufanyia maonyesho kama hayo?
Mambo ya kiutamaduni huwa hayafanywi hivyo. Hapo ni ushirikina live kabisaaa
 
Hiyo ni burudani ya tamaduni za maeneo husika,mbina ndo mambo yake hayo.Ni sawa na kizazi cha leo kushangilia matusi ya nguoni kwenye nyimbo za wasanii wa kileo
 
Naskia tamasha la BULABO linalofanyika Kisesa hivi leo linagharamiwa na ikulu pale kisesa kuna machifu wa nchi nzima jana nimeenda wengine wamevaa kichawi chawi tu
 
Kazi za watu hizo ndugu yangu, huwezi amini kiasi cha gharama zilizotumika kuandaa hilo onyesho.
Kweli ni sawa na Daimond anavyofanya show si analipwa pesa na hao pia pesa zinetoka usikute check imetoka ya bilioni moja lakini Sungu sunglasses wamelipwa laki mbili wagawane kwenye kikundi chao wagawane
 
Kweli ni sawa na Daimond anavyofanya show si analipwa pesa na hao pia pesa zinetoka usikute check imetoka ya bilioni moja lakini Sungu sunglasses wamelipwa laki mbili wagawane kwenye kikundi chao wagawane
Ni mradi wa watu, kuna timu ya uongozi kabisa na uratibu, kiwango gani walipwe hao wacheza shoo na wao wabakiwe na kiasi gani.
 
Kodi ya wananchi inachezewa sana jana kibonge wa Mtwara kapanda jukwaani kaimba dk 3 tu alichoimba hakieleweki kakunja mamilioni yake kasepa​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…