Haya mambo yana faida gani mbele ya Rais?

Ndiyo sisi hao
 
Ngoma za wahusika katika maeneo hayo. "Aho gokoo yawana Ntemile, yalinzagamba yazwa mapembe, pala ga shimba pala ganshimba". Na hayo ndo mapembe unayoyaona wamejivika vichwani mwao. Pia kumbuka wakifanya hayo mbele ya Mtemi Mkuu Hangaya.
 
Iyoooo ahaaa no bhulogi boleho nalebona ungekhilo agobejaga ndhago ya gotogwa na gudekelekwa na banhu bazunye kila mhayo oyo aliyomba
 
Utamaduni wako inakuwaje unaufanyia maonyesho kama hayo?
Mambo ya kiutamaduni huwa hayafanywi hivyo. Hapo ni ushirikina live kabisaaa
Tangu lini ukaona ushirikina unafanyika live mkuu? Unajua maana ya mambo ya giza? Come on.!!
 
Mbele ya CCM huu unautwa ubunifu
 
Sawa chief hangaya
 
ni upuuzi kama upuuzi mwingine kama wale wanaoweka namba SSH 20 30 naskia mapolisiisiiemu wakiona hizo wanapiga na saluti kabisa bila kujua hata ni nani yuko kwenye gari, nchi imekuwa na machawa kuliko hata chawa wenyewe kwakweli bongo bahati mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…