Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hivi mihimili inaingilianaje kisheria?.
Soma kanunu za bunge utaona hayo mamlakaWakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.
Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.
Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?
Ndugai ana inferiority complex, nimsikia akijitetea, sisi sio mazuzu, wakati Mzee Jenerali Ulimwengu hamna sehemu Ali mention neno zuzu zaidi alimnukuu scavenger Zee la majalalaniWakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.
Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.
Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?
Unafahamu kuwa kanuni za bunge ni za kuendeshea bunge?
Tanzania theoretically kuna mihimili mitatu ambayo inatakiwa iwe inajitegemea, but in practice kama tulivyoambiwa na bwana yule kuna mhimili mmoja mizizi yake imeenda chini sanaa [emoji12][emoji12][emoji12]Hivi mihimili inaingilianaje kisheria?.
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na bunge.
Sasa leo ni ugomvi wa bunge na Jenerali Ulimwengu. Nimemsikia Ndugai akitoa onyo(vitisho) kama vile bunge ni polisi au mahakama.
Naomba kujua bunge linamamlaka gani dhidi ya raia wa kawaida iwapo linaona raia huyo 'amelikosea'? Lina mamlaka ya kumuita raia na kumhoji?
Mamlaka wanayo. Sasa, namna wanavyo yatumia.........mmmmmmm!