Haya mananasi yametapakaa vibaya mno, yaani usipokula nanasi kipindi hiki sahau

Haya mananasi yametapakaa vibaya mno, yaani usipokula nanasi kipindi hiki sahau

Wakulima watakufa njaa kama ni kweli.. tutumie jeshi kununua na mananasi pia!
Hahahah,..had jero kiongoz,yaan nmenunua ya buk mbili mbili,ni makubwa hatar,hayo ya jero nayo ni mazur sana,ila niliona noma kununua ya jero
 
Hakuna ubaya, lakini kila sehemu kuna aina yake ya uandishi na wachangiaji. Huwezi kufananisha instagram au whatsapp na twitter...
nipe utofaut wa hao wachangiaj....na unithibitishie kama hao wachangiaj hawajawai kua na account za fb hata mara1 ktk maisha yao..naamin hata wew unayo kiongoz
 
nipe utofaut wa hao wachangiaj....na unithibitishie kama hao wachangiaj hawajawai kua na account za fb hata mara1 ktk maisha yao..naamin hata wew unayo kiongoz
Sihitaji kukupa utofauti kwani aina ya uandishi wako tu inajidhihirisha. Kwanza hushangai andiko hili limehamishwa kutoka Habari na Hoja Mchanganyiko na kutupwa huku Chit-Chat?...
 
wanaume wa mikoani tumeyatunza mashambani, wanaume wa dar wanayapata kiulaiiiiiiini
 
Back
Top Bottom