Whats the big deal then...mzee unatumia nguv nying sana akat wenzako maisha tuna take easy tuu...we utakua wa mkoa wew...wenzio hatuandiki vzur na maisha mazur tuu na ujinga huu huu.Sihitaji kukupa utofauti kwani aina ya uandishi wako tu inajidhihirisha. Kwanza hushangai andiko hili limehamishwa kutoka Habari na Hoja Mchanganyiko na kutupwa huku Chit-Chat?...
Wanazingua sana hawa Jamaa..Huu ndio uandishi wa mwanaume wa dar.
Nonsense! Kajifunze kwanza kuandika ndiyo uje kueleza utumbo wako hapa, eti unajisifia ujinga. Tangu shule zimeanza kufungwa mmekuwa na taabu sana nyie...Whats the big deal then...mzee unatumia nguv nying sana akat wenzako maisha tuna take easy tuu...we utakua wa mkoa wew...wenzio hatuandiki vzur na maisha mazur tuu na ujinga huu huu.
Angalia hata aina ya uandishi wake mkuu,anakata kata sana maneno, sijui ni uvivu,kutokujua au sijui anawahi wapi? mleta mada andika vitu vitakavyoeleweka na watu wa rika lote,unakata kata sana maneno kama unakimbizwa? huo uandishi wa aina hiyo uache huko huko fesibuku.Jamaa anadhani yupo facebook...
Huo ndio uandishi wa vidot.com,sasa sijui ndio wanafundishwa hivyo huko shuleni?Huu ndio uandishi wa mwanaume wa dar.
Maisha si magum hvi vijana,..easy up kdogo.ndomana mnawai kutoka vpara vijana wadogoAngalia hata aina ya uandishi wake mkuu,anakata kata sana maneno, sijui ni uvivu,kutokujua au sijui anawahi wapi? mleta mada andika vitu vitakavyoeleweka na watu wa rika lote,unakata kata sana maneno kama unakimbizwa? huo uandishi wa aina hiyo uache huko huko fesibuku.
Kumbe unajiongopea kua wote humu jf ni watoto wenzio eeh! jifunze kuandika kwa ufasaha unatia kichefu chefu.Maisha si magum hvi vijana,..easy up kdogo.ndomana mnawai kutoka vpara vijana wadogo
Utoto raha sana,unakua unaandika hata vitu vya hovyo ili mradi tu usiachwe nyuma au usisahauliwe kua nawe upo JF,ukikua na ukawa na akili iliyokomaa kisha ukaja kusoma hiki unachokiandika hapa utajidharau sana!Kama we ni grownass nigga hum unafanya nin,chit chat...na si lazma usome au u comment,take a nap grandpa
Si ndo had nikue sasa..we ni mzee tayar ndomana ukaona hvyo..unapingana na sentensi unazoandika..ushasema mi ni mtoto then what..let me do utoto..kiongoz unatumia nguv nying kwa som1 unknownimous...hunijui...hahaha,dah,dhik mbaya sana,unakua na hasira hasir tuu.be positive..kwan ukisoma na kuacha kuna tatzo gan.kwan nmeandika matusi?we soma au acha nenda kalaleUtoto raha sana,unakua unaandika hata vitu vya hovyo ili mradi tu usiachwe nyuma au usisahauliwe kua nawe upo JF,ukikua na ukawa na akili iliyokomaa kisha ukaja kusoma hiki unachokiandika hapa utajidharau sana!