Haya maneno aliandika Diamond 9 April 2013

bizzle11

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
246
Reaction score
198
Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao.....





11k Likes2.7k Comments1.1k Shares
Like Comment Share

.

  • SOURCE: FACEBOOK ACCOUNT YA DIAMOND PLATINUM
 
Mama anapata maumivu makali sana kujifungua mtoto wa kwanza lakini
utamwona akishika mimba ya pili, tatu,......
 
Wasanii wa bongo wanajidai kujitoa ufahamu kwani si wanajua kua wanatumika wakubwa wakishinda ndio mwisho wao wewe kama Roma lazima muwe dynamic ninyi Wasanii wetu we actually love you guys but realing the other time you discouraged us
 
Kama 9/4/2013 alisema hivyo sasa kafuta kauli yake ndo mana anawafanyia kazi (kumbuka swala la KUFUTA KAULI kama inavyofanya CHADEMA KWA LOWASSA KUHUSU UFISADI) labda museme DIAMOND yeye haruhusiwi kufuta kauli ila Tundu Lissu anaruhusiwa.
 
sasa hivi rais kampromot yuko juu kinoma hana shida, ndio maana hata akasema kwa ccm anajitolea ila ukawa wakimhitaji ni malipo. kashasahau machungu kuhusiana na kauli yake, ila wenzie ambao hawako kama yeye je ile kauli haiwahusu?!
 
sasa hivi rais kampromot yuko juu kinoma hana shida, ndio maana hata akasema kwa ccm anajitolea ila ukawa wakimhitaji ni malipo. kashasahau machungu kuhusiana na kauli yake, ila wenzie ambao hawako kama yeye je ile kauli haiwahusu?!

Kwani chadema walizungumza vipi kuhusiana na Lowasa naleo wanazungumza nin??? acheni upopoma kutotaka kufikiri kisa chama chako utakiona guilty....

Diamond endelea kupiga pesa hizooo, na Kwakuwa hakuna hata mwana ukawa mmoja aliokufanya uwe diamond bali ni mashabiki wako basi endelea hivohivo SUPPORT YETU UNAYOOO!!!!!

TEAM DIAMOND PLATNUMZ FOR LIFE

KING OF AFROPOP
 
kwasasa acha wawe bega kwa bega na c.c.m sababu kimewatambua na hata ktk katiba wameingizwa rasmi... ahsante serikali ya c.c.m kwa kuwajali wasanii
 
Kama 9/4/2013 alisema hivyo sasa kafuta kauli yake ndo mana anawafanyia kazi (kumbuka swala la KUFUTA KAULI kama inavyofanya CHADEMA KWA LOWASSA KUHUSU UFISADI) labda museme DIAMOND yeye haruhusiwi kufuta kauli ila Tundu Lissu anaruhusiwa.

UMEUA,lazima wajifiche
 
Ndugu unaongea vitu usivyovijua... inaonekana unaifahamu vizuri tasnia ya siasa kuliko tasnia ya muziki vinginevyo ungefahamu kwamba mikataba ya ringtones ya wakati wa lalamiko hilo ni tofauti na siku hizi! Zamani middle men ndo walikuwa wamehodhi biashara ya ringtones coz' ni wao ndo walikuwa wanaingia mkataba na kampuni za simu... kwahiyo kampuni za simu zilikuwa hazimtambui msanii! Mbaya zaidi, biashara yenyewe ilikuwa imehodhiwa na Omni Mobile. Lakini hivi sasa huo utaratibu umeshabadilishwa... mwanamuziki ni uamuzi wako, kuingia mkataba na kampuni za simu moja kwa moja ili kukata mirija ya wakala, au unaweza kuendelea na utaratibu wa zamani wa kumpa wakala ale bila jasho! Sasa ikiwa unaweza kuingia mkataba wewe mwenyewe halafu kampuni ya simu ikakulalia, then that's your problem! Ikiwa wasanii wanafahamu kwamba pasipo na wao hakuna ringtones za Bongo flavor basi wana uwezo wa kuwakazia kampuni za simu na wao wakapata royalty inayostahili!

Una lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…