Haya Maneno:"Hiace,Kondakta na Chenji".Kiswahili chao hasa ni kipi?

Haya Maneno:"Hiace,Kondakta na Chenji".Kiswahili chao hasa ni kipi?

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,297
Reaction score
1,877
Ni wachache sana kati yetu hawajawahi kupanda Daladala.Haya maneno si Mageni sana.

Je haya Maneno kwa Lugha yetu Adhimu ya Kiswahili yanaitwaje?Au Mengine Kiswahili chake ni Hicho?
 
Kondakta ni utingo
Chenji ni bakhshishi...

Ila hiace nashindwa kuitolea maana, sababu hiace ni toleo la gari km vile unaposema murano,ist,swift n.k
Ila hili jina lilikaa sana vinywani mwa watu sababu hiace ndio gari zilizobanba sana mwanzon katika biashara ya daladala, hili ni gari kampuni ya toyota kidogo atleast siku hiz zinakuja gari aina hyo kampuni nyingine mf nissan civilian etc.

Ni km vile mtu kusema ngoja nigoogle[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiece ni daladala, ondakta ni mhudumu wa daladala

Chenji ni salio
 
Back
Top Bottom