Haya maneno kuwa bila mambo mawili Yanga haiwezi kushinda sidhani kama ni sawa

Screenshot_20241124-164600_Instagram.jpg
 
Lomalisa hakupaswa kuondoka, Gamond hakupaswa kuondoka, nimeambiwa hata wachezaji wamekasirika Gamond kuondoka Sasa watakuwa na Ari kweli.

Ni Bora hersi arudi kwao Somalia atuachie yanga yetu, na likocha la mchongo waliloleta
 
Kweli uchawi!!! kwanini mkiwa mnacheza na simba mnapitia mlango wa nyuma
 
Viongozi hao kaka , sisi mashabiki hatujui chochote, kocha wamefukuza wao, wachezaji wananunua wao, kama sindano kweli zipo basi ni wao. The management must step down
 
Yaani shabiki unateseka na vitu vidogo namna hiyo??

Ni mambo ya kawaida hayo, ni utani wa jadi huo kijana.
Ninyi ndo huwa mnarusha ngumi vijiweni utani ukizidi.
 
Back
Top Bottom