Acheni hayo maneno. Si sawa hawa wageni wapo wanaojua kiswahili. so wanaelewa haya maneno wanapoyasikia inakuwa inatupa nafasi ngumu sana kwetu kuwa bila
1. Kujidunga
2. Uchawi
Haya si maneno mazuri. ni maneno ambayo wakiyasikia watu wanaweza kutuwekea wakati mgumu sana. watataka kutudhibiti sana.
Viongozi hao kaka , sisi mashabiki hatujui chochote, kocha wamefukuza wao, wachezaji wananunua wao, kama sindano kweli zipo basi ni wao. The management must step down