Haya maneno yamesemwa kweli?au ni uzushi?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
"Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama hatakushambulia maana katiba yetu ndo inavyosema"

🗣️Thabit Kombo akiongea bungeni kuhusu mauaji ya 29.october .2025
 
Gentleman,
hiyo porojo, uzushi na upotoshaji nonsense tu wa wafuata mkumbo.

ni vizuri kupuuza tu 🐒
 

Your browser is not able to display this video.
 
Mnao chokonoa, Endeleeni kuchokonoa vizuri adi watanue mapaja.
 
Gentleman,
kuskia unaweza skia, but ukawa hujaelewa chochote, kwakua huenda uliskia makelele tu,

lakini ukweli ni kwamba hakuna nonsense kama hiyo
Acheni ulaghai, mmeua halafu ipite tu hivyo, nchi hii imeongozwa na watu wengine mama yenu kawanyea mikononi,
 
Acheni ulaghai, mmeua halafu ipite tu hivyo, nchi hii imeongozwa na watu wengine mama yenu kawanyea mikononi,
relax basi gentleman,
naona unaanza kupandisha mori wa mihemko nonsense na kuanza kumbwelambwela na porojo useless jukwaani,

calm down plz kama huna point au umechoka kujadili hoja
 
relax basi gentleman,
naona unaanza kupandisha mori wa mihemko nonsense na kuanza kumbwelambwela na porojo useless jukwaani,

calm down plz kama huna point au umechoka kujadili hoja
Ngoja tuone ulaghai wenu utafiks wapi
 
Ngoja tuone ulaghai wenu utafiks wapi
Gentleman,
kama taifa tunasonga mbele katika kufanya kazi kwa bidii, kujenga taifa bora na imara, linalojitegemea kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hakuna muda wa kupoteza,

wala hakuna wa kumgoja kutujengea taifa letu Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…