Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marafiki.Nyuzi nyingine maneno yake yananiacha, mfano mtu anasema “ nilichukua paba nikaita wana kitaa tukalichangamkia” hii ‘wana’ maana yake ni nini?
Bapa sio paba.Nyuzi nyingine maneno yake yananiacha, mfano mtu anasema “ nilichukua paba nikaita wana kitaa tukalichangamkia” hii ‘wana’ maana yake ni nini?
🙏🏾Wana ni msemo wa kiswahili maana yake ni watoto, mfano wana wa mzee Juma=watoto wa mzee Juma(Obwana, Ong'wana)
Wana ni msemo wa vijana/wanaume wa rika moja mfano nivyoenda Mwanza nilikutana na wana kibao kitaani.
Pia unaweza kusema WANA ni kinyume cha neno MASHOGA.
NB: MASHOGA kwa maana ya marafiki wa kike.
REFERENCE: UNCERTAINTY PRINCIPLE