Haya maneno yanaboa sana kwenye hizi Guest na lodge mbalimbali

Haya maneno yanaboa sana kwenye hizi Guest na lodge mbalimbali

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari guys.

Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote. "KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA" Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom.

Duh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
 
Hahahaha halafu asubuhi unaamka unakuta kumbe ulibeba mzigo kama huu
 

Attachments

  • IMG-20200831-WA0053.jpg
    IMG-20200831-WA0053.jpg
    19.6 KB · Views: 3
[emoji23] duuuu stimu yote inakatika
Kabisa kabisa mkuu, wanayumba sana.. Tena kama totozi nayo akiyaona ndo unapoaaaaaa.. Japokuwa hawa warembo hawawazagi mambo ya ngoma wao
 
Kuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kwa kwel narud nlkotoka io n guest au nyumba ya ibada
 
Kuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
Hahahahahaaa, ha hao wametisha mazee duuuuuh
 
Zanzibar na Kahama nilikuta Guest zina tangazo kabisa kuwa Kama huna cheti cha ndoa hairuhusiwi kuingia na MTU. Kwahio kama uko na mkeo sharti mbebe cheti cha ndoa
Bora hao hawana nyodo, maana mambo yote yanaishia reception hapohapo sio kuleteana presha vyumbani kwa maneno ya kuogofya
 
Habari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote.
"KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA"
Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom....

Duuuh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
Chumba cha Shs ngapi?
 
Back
Top Bottom