Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kabisa kabisa mkuu, wanayumba sana.. Tena kama totozi nayo akiyaona ndo unapoaaaaaa.. Japokuwa hawa warembo hawawazagi mambo ya ngoma wao[emoji23] duuuu stimu yote inakatika
Mmmh, mzigo kama huo hata ukiungalia usoni unaujua tu ni mbovu..Hahahaha halafu asubuhi unaamka unakuta kumbe ulibeba mzigo kama huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] kwa kwel narud nlkotoka io n guest au nyumba ya ibadaKuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
Cha kuandika chumbani hichoo.!! ten mlangoni ndo wanazinguaUkweli stimu lazima ziishe ila unakuwa umekumbushwa
Hahahahahaaa, ha hao wametisha mazee duuuuuhKuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
Bora hao hawana nyodo, maana mambo yote yanaishia reception hapohapo sio kuleteana presha vyumbani kwa maneno ya kuogofyaZanzibar na Kahama nilikuta Guest zina tangazo kabisa kuwa Kama huna cheti cha ndoa hairuhusiwi kuingia na MTU. Kwahio kama uko na mkeo sharti mbebe cheti cha ndoa
AiseeKuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
Guest nyingi siku hizi sheria zao ndivyo zilivyo ila wale wanaofanya biashara zaidi ndio hawaangalii hivi vyetiZanzibar na Kahama nilikuta Guest zina tangazo kabisa kuwa Kama huna cheti cha ndoa hairuhusiwi kuingia na MTU. Kwahio kama uko na mkeo sharti mbebe cheti cha ndoa
Hivi Ni kwannKabisa kabisa mkuu, wanayumba sana.. Tena kama totozi nayo akiyaona ndo unapoaaaaaa.. Japokuwa hawa warembo hawawazagi mambo ya ngoma wao
Chumba cha Shs ngapi?Habari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote.
"KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA"
Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom....
Duuuh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
utarudije na ushakula vya watunarud nlkotoka