Haya maneno yananichanganya

Haya maneno yananichanganya

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Gunia au Junia
Sifuri au Sufuri
Maharage au Maharagwe
Redia au Radio
Sekondori au sekendari.
Sufuria au Sifiria
 
Gunia au Junia
Sifuri au Sufuri
Maharage au Maharagwe
Redia au Radio
Sekondori au sekendari.
Sufuria au Sifiria

Mweee..? Madhara ya lugha ya mama katika matamshi ya maneno. Ila tusubiri wataalamu (au wataaluma?)

Ila kwenye 'redio' pale pamefanyika utohoaji kwa hiyo 'redia' si sahihi hata kidogo. Hii ni sawa na 'secondary' imetoholewa hivyo itaandikwa kama inavyotamkwa 'sekondari' na sio 'sekondori' au 'sekendari' (hii ya mwisho naona kama inakujakuja hivi!)
 
ni sifuri,gunia,sufuria,sekondari,maharage hapo pengne nahc ni Redio
 
Ni makosa tu ya kimatamshi kwa sababu za kigeografia kwa anayetamka ama mwembwe za makusudi kimatamshi!
 
Hayo matamshi yanategemea na lafudhi ya mtu.
 
Kaka/Mkaka
Dada/Mdada
Kitu kidogo/Tukitu tudogotudogo
Nchi hii/N'nji hii
Vuta/Furuta
Sogeza/Songesha
Uoroda/Urada
 
Kaka/Mkaka
Dada/Mdada
Kitu kidogo/Tukitu tudogotudogo
Nchi hii/N'nji hii
Vuta/Furuta
Sogeza/Songesha
Uoroda/Urada
Mbeleni/baadae.
Naniliu/kitu fulani.
Machungwa nane/machungwa manane.
Rerini/Relini.

Umuhim kuwaelewa tu!
 
Hii inatokana na kuathiriwa kwa lugha mama ndio maana utakuta mwingine anasema
selasini badala ya thelasini
fiatu badala ya viatu ila na dhani gulta amekujibu vizuri
 
Back
Top Bottom