Haya maneno yanatufundisha nini kwenye siasa?

Haya maneno yanatufundisha nini kwenye siasa?

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Treat every part of your towel nicely, because the part that wipes your buttocks today will wipe your face tomorrow.

Kwa lugha yetu =
Tumia kila sehemu ya kitambaa chako vizuri, kwa sababu sehemu ambayo inafuta matako yako leo itafuta uso wako kesho.
 
Tafsiri yake kwa kiluga chetu hakuna ili tuweze kuchangia?

Kwa lugha yetu =
Tumia kila sehemu ya kitambaa chako vizuri, kwa sababu sehemu ambayo inafuta matako yako leo itafuta uso wako kesho.
 
Usitukane mkunga uzazi ungalipo.
 
Back
Top Bottom