Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Mi nawakaribisha hapa V.C.T tucheki manyenyere! mana kny hiyo list ya walio n'tia nkojo diva na mashaka sana lol..............
 
 
Last edited by a moderator:

Hapo ndio ujue kumbe jamaa ni mwepesi hivyo! Kugeuziwa jicho tuu aaaah kaingia king, jee akiona mkwanja? Si ndio atakuwa tayari hata kuwaua wenzie acha kuwasaliti tuu. Thread hii imenifundisha mengi.
cc; zumbemkuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hahaha, ningekuwa moderator ningekafanya haka ka'thread kawe stick loh,
 
Ni kama Cracked Windows, everything opened na bado anajiweka wazi ni kiasi gani alivyokosa Anti-Virus, mtu ana boyfriend afu bado anakiss lovely with other guy, WHAT A SHAME!!, by the way nadhan Locker yake ni simple sana kuicrack, a guy like me siwezi shindwa kulog in kwenye safe mode yake na kuextrack love yake, COOL DIVA, KEEP GIVING THEM, COZ THATS ALL U GOT!!! LOL
 
Nina hamu ya kufanyiwa interview kwny hala za Roho uenda nami nitauona mlango usiofungwa Mara kwa Mara nami nikapita hapo
 
Mkuu huwa sina kawaida ya kutembelea sana hili jukwaa ila kumbe lina mambo yamejificha huku! Acha tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
hee, hahahaha, dah kumbe jukwaa la MMU???? hahaha, tangu nijiunge leo ndo naingia humu, du, hahahahaha
kumbe ndo maana kuna wadau siku hizi jukwaa la stress hawaonekani....
 
leo kama nimemuelewa elewa huyu demu kwa mahojiano haya...safi sana!
 

hahahahahaha!...mnyika 'm solid' banah! Ni ngumu sana kushawishika. Dogo yupo safi sanaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…