mashalaah kumbe nae yumo,ana shape kama kiroba,tumbo hapo hapo,kiuno hapohapo,makalio hapo hapo,nyuma hajulikani kama mke/mume ila mbele utmjua kwa nido zake kama ndala na uso wake kama Bundi mzee.
Go Diva Go
hahaha, ningekuwa moderator ningekafanya haka ka'thread kawe stick loh,
Mmh kazi anayo huyu mtoto
Mhe. Naomi Kaihula jiandae Mkwe ndio keshajilengesha kwa mwanao na anataka kabla mwaka huu haujaisha akuletee mjukuu. .
Anamjua huyu mama au anamskia?hapendi vijana wa kidot.com milele hiyo ni wazi hapatakua na ukwe kati yao
Ndio yupi huyo Mama?
Naomba unifahamishe mkuu Mama ake ni Mh.Naomi yuko serikalini kwenye sekta gani maana simfahamu.
Anamjua huyu mama au anamskia?hapendi vijana wa kidot.com milele hiyo ni wazi hapatakua na ukwe kati yao
Non sense!!!!!!Mungu anisamehe huyu mdada namchukiaga sana anavoigiza maisha ya kizungu na anavyojifanya mzuri kumbe kinyago cha mpapule hata pakushika hakuna,shapeless.simpendi
Mi nawakaribisha hapa V.C.T tucheki manyenyere! mana kny hiyo list ya walio n'tia nkojo diva na mashaka sana lol..............
Mimi ningepata nafasi ya kuwashauri........ningewaambia wawe wanajifunza kunyamaza........wanaongea sana........Mh! Sio ki hivyo mkuu.
Oh yeah. Na wanaliwa sana pia.
Design wanaume wote Zitto, Prezoo na GK aliwapata kwenye interview.
Ndo maana alimmind Mnyika baada ya kumtolea nje kwenye interview yake may be alikuwa na lengo hilo jamaa akashtukia lol!.