Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Kamshindwa tu ila mama kaihula ni wale wamama wanoko saaana when it comes to discipline,namjua vizuri


"Pamoja na CV hiyo fupi, mama huyu AMEOKOKA, na pia ndiye mama mzazi wa Mwanamuziki wa hip Hop Gwamaka Kaihula(Krezi G.K) kutoka EAST COAST TEAM. Nilibahatika kuwa mmoja wa wanafunzi wa mama huyu, nakumbuka chuoni, moja kati ya vitu alivyokuwa akituambia ni kuwa"Msifuatishe Gwamaka(G.K) nshapiga kelele sana arudi darasani asome yeye anakalia hayo hayo tu, nawaambia nyie someni ipo siku mtamuajiri. Wakati mwingine aliwahi sema NAFANYA MAOMBI SANA ILI GWAMAKA ABADILIKE asome kama nyinyi, haya ni moja kati ya maneno mbayo siwezi yasahau"


I quoted kwenye blog ya Hosana it seems anaumia sana mamaake kwa kijana wake kuwa wa .com ila naona sala zimesaidia kamaliza degree na sasa anasoma masters pale mzumbe ya dar.
 
Hilo jina la huyo baby boy atakayezaliwa ndio limeniacha hoi jaman wapi majina yetu yakibantu
 
Duh! Sijui na Mimi nikaombe interviews. Hahahaha
 
Nataka kwenda kufanya mahojiano Clouds, namimi niwe King wake mpya.
 
Nmejitahidi kusoma hiyo conservation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…