Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga.
Huyu msichana sijui vp jaman
yan yeye nikimwomba ni meet naye anaulizia hela kila ki2 yeye ni hela alafu ni mwongo sana.
Naomben msaada huyu m2 nimweke kundi gan?
Kwani kwa doctor aliingia mwenyewe?
Pole mkuu
Dah muulize na umwambie wasiwasi wako uone atakuambiaje juu ya hilo coz hata ukinyamaza utakuwa unajidanganya mwenyewe bora ujue moja utoe maamuzi.Asante aliingia mwenyewe siunajua tena nika msubir 2kaenda laboratory baadaye matokeo kutoka akanitel et hamna tatizo thn amepewa dawa hzo! Mkuu ni mweleweje coz zle dawa ni za vaginal. Cause zimeandikwa viginal cream!
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga.
Huyu msichana sijui vp jaman
yan yeye nikimwomba ni meet naye anaulizia hela kila ki2 yeye ni hela alafu ni mwongo sana.
Naomben msaada huyu m2 nimweke kundi gan?
Kuhusu hizo dawa inawezekana ana fangasi sehemu za siri na km unavyoelewa si rahisi kwa wabongo kufunguka kuhusu matatizo ya sehemu za siri, ila Fangasi c ugonjwa wa zinaa.
Unavyosema anapenda fedha unamaanisha nini? je anajitegemea na ana kipato cha kukidhi mahitaji yake lkn bado anakudai fedha mara kwa mara ?, au anaishi kwao na hana kipato na hivyo anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi yake.
Kama anakuomba fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida endelea kuhudumia ndo kupenda huko, ila inakubidi uwe wazi km huna kipato cha kukidhi mahitaji kuliko kuendelea kuumia .
Kaka mwenye macha haambiwi tazama, sasa hapo penye bold tukushauri nini na wewe ushajionea mwenyewe matokea ya vipimo vya daktari na dawa aliyopewa? amsha akili!:A S embarassed:
Muulize hizo dawa mbona ni za kazi fulani sasa yeye anazichukua za nini???Nimuulize nin sasa?
Kivipi tena embu fafanua!