Haya mapenzi ya enzi za jk haya! Ingekua wewe ungefanyaje?

uzinzi dhambi, muogopeni Mungu.
 
jf vituko haviishi,ushamjua ni muongo na mpenda hela,kwa nini bado upo nae.na hiyo cream nahisi ni ya fungas ktk sehemu nyeti.kwa nini aone aibu kukwambia?
 
kuna kitu anakutafutia, we subiri ukikipata ndo utajua kama anakupenda ua laaah
 
uzinzi dhambi, muogopeni Mungu.

Hakuna uzinz hapo nimiaka mitatu sasa amekua girl friend wangu but sijawah sex naye wala sijawah fanya hcho kitendo mkuu.
 
jf vituko haviishi,ushamjua ni muongo na mpenda hela,kwa nini bado upo nae.na hiyo cream nahisi ni ya fungas ktk sehemu nyeti.kwa nini aone aibu kukwambia?

Hapo ndo ninapo jiuliza na 2mesha kaa miaka 3 now sijawai hata ku duu naye!!
 
Mmmmmh hapo fukuza mwizi.....ukikaa kimya nawe ipo siku utaingia hospital na kupewa Penis cream....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…