Haya mapenzi ya enzi za jk haya! Ingekua wewe ungefanyaje?

using'ang'anie kitu ambacho kimeshaonesha dosari, achana nae, lakini mwambie ukweli kuwa unafahamu hiyo ni dawa ya fungus ukeni, halafu msikilize atajibu nini.
 
using'ang'anie kitu ambacho kimeshaonesha dosari, achana nae, lakini mwambie ukweli kuwa unafahamu hiyo ni dawa ya fungus ukeni, halafu msikilize atajibu nini.

Mi naona nkimtel atakuacomfotable mybe nimuulize anaumwa ugonjwa gan?
 
Jifahamu kuwa wewe ni buzi tu!!!!!!!!!!!! :lol:
 
Jifahamu kuwa wewe ni buzi tu!!!!!!!!!!!! :lol:

Hapana mi so buz tx jst anapenda hela biyond normal bt so ela nying ata 2000 kwake kubwa na lunch!
 
Jifunze kuandika miandiko ya watu wazima km jf member,mwandiko wako wa kifb haueleweki!namaan hivyo vifupi vyako.
 
Sawa mkubwa !!

So wat is your advice ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…