Hv mkubwa wewe umesoma na ulikuwepo chuo, nadhan unafahamu tabia za dadazetu wengi waliofika huko huwa wanakuwaje sasa unalalamika nin tena? Kwani ulikuwa hujui?
yaani mkuu ndo najuta kumpenda mpenzi niliyeanzanae from ground to top.nukta
nimesha poa mkuu, bora nikatafuda mpenzi amemaliza chuo na yupo kitaa kwani atajua maisha ni nini.nukta
Alianza nalog off akaja yoyo, sasa kuna hii ya nukta. Kuweni wabunifu. Bora ungeaiandika mwanzoni ili uwe tofauti na wenzako.
Lakini mkuu, we umemfanyia nini hadi akuweke kando?
naona unataka kupaisha hiyo nukta yako.