We achana nae,subiri kwanza amalize hcho chuo ndo akili itakaa sawa.
Huyu sasa tutamuita "mzee wa nukta"!
Pole sana Mr. Dry! Nakushauri kaa chini na huyo binti ongea nae kuhusiana na urafiki wenu na una nia gani naye ya hapo baadaye. Nahisi huyo binti atakuwa bado mdogo na ana akili za kitoto. Ukiona bado anaendelea na hiyo tabia achana nae, utapata tu mwingine kwani "mke mwema hutoka kwa Mungu"!
mijinga kweli wewe. yaani umri wako wote kujui maisha ya first year female students huwa yakoje? na utakufa kwa kijiba cha roho. wenzio wanajimegea kwa kuandaa madesa tu, we unachunwa kifala, looooh!
hili alilolipata kwangu mie namuona jamaa kama Bakhresa vile.Nalog offmbona yako cha mtoto uliza wazawa watakusimulia yaliyowakuta utajiona mbona ww umepetiwa
anataka kuishi kama yuko peponi! Nalog offhizo changamoto ndio zinafaa kupima uhusiano wenu,sio unampenda mtu mpaka unajisahau wewe ni nani,ukiona kizunguzungu kingi unakosa amani anza,you are still young,pima mazuri yake against mabaya,kama mabaya yanazidi jishauri kusepa,mwisho wa siku changanya na zako