johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa si amwambie Mwenyekiti Mbowe akakosowe kwenye Maridhiano!Huko ni kukosoa sio kusimanga
Ya maridhiano yapo na yamesha pelekwa ...yanayo semwa ni haki ya kikatiba ya kazi ya wapinzani kukosoa serikali yao pindi inakoseaSasa si amwambie Mwenyekiti Mbowe akakosowe kwenye Maridhiano!
Yaani ni Ccm na Mbowe tu ndio wamekuwa watulivu. Mwisho wa kunukuu. It smells fishy isn’t?Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa
Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa state
Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana
Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano
Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli
Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
😃😃Yaani ni Ccm na Mbowe tu ndio wamekuwa watulivu ! Mwisho wa kunukuu ! It smells fishy isn’t ??!
Hajakosea hata kidogo,Mwamba nae asikae kimya wakati majizi yanaliangamiza Taifa.Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli
Muulize Jiwe akusimulie .Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa
Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema
Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana
Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano
Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli
Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Maridhiano yamempaisha mwenyekiti wa CCM na rais kimataifa, rejea kauli za Kamala Harris na jumuia na mashirika ya kimataifa.Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.
Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema.
Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana.
Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano.
Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.
Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Wizi wa sasa hata mama keshaukataa ndiyo maana kasema wote waliotuhumiwa na CAG wapishe uchunguziNilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.
Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe pekee kwa upande wa Chadema.
Kauli za Tundu Lisu na Mnyika zimekuwa za Utata sana.
Juzi Mnyika kazungumzia Muswada wa Katiba Mpya unaoepelekwa bungeni huku akitoa tahadhari kadhaa kana kwamba hakuna Maridhiano.
Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.
Niwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.
Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
Kwani ipo Asali?hakuwa amepata Asali yake?Anajibaraguza tu kwa kuwa anataka chupa kubwa la asali, we subiri akatiwe mshiko wake uone kama atasema neno kama siyo kuimba mapambio tu.
Cheza na asali wewe!
Ukitaka Habari zote za viongozi wa Nchi hii watafute Athumani na selemani watakupa file la kila mmojaHajakosea hata kidogo,Mwamba nae asikae kimya wakati majizi yanaliangamiza Taifa.
Amepata mafao yake, lakini fungu la asali (maridhiano) bado hajapata. Hilo amelamba mbowe peke yake, na kidogo akamgawia JJ.Kwani ipo Asali?hakuwa amepata Asali yake?