Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Naamini wengi mnayafatilia ila nataka tufahamishane mmeyaonaje haswa jinsi timu za taifa zilivyoimarika mfano Uholanzi na zingine zinavyopitia kipindi kigumu mfano Ujerumani karibuni wadau wa soka mtoe maoni na kama kuna la kujifunza tunaloweza kuiga mliseme pia.