Haya Mashindano mapya ya UEFA nations league mnayaonaje?

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
32,639
Reaction score
42,908
Naamini wengi mnayafatilia ila nataka tufahamishane mmeyaonaje haswa jinsi timu za taifa zilivyoimarika mfano Uholanzi na zingine zinavyopitia kipindi kigumu mfano Ujerumani karibuni wadau wa soka mtoe maoni na kama kuna la kujifunza tunaloweza kuiga mliseme pia.
 
Ni mazuri ila yanaharibu mipango ya clubs za soka (kwa mtazamo wangu), kwa sababu kwanza wachezaji wanakuwa hawatulii wanasafiri safiri sana kutumikia timu 2 kwa wakati mmoja (taifa na club), pia wengi wanapata maheraha na wanakuwa mzigo kwa clubs zao.
Ligi zilizokuwepo zilikuwa zinatosha sana.
 
mchezaji hachoki kwa idadi kubwa za mechi anazocheza bali zinamfanya awe bora zaidi, michuano hii yako poa sana tunaona hata timu ambazo hazikuwahi kushiriki kombe la dunia zikiwasha moto uwanjani na timu nyingine kubwa zikiendelea kuboronga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…