Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu.
Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo wazo kama hili let alone ku-fund na kutoa ufadhili
Kuna watu ambao wanataka wapate favors na attention ya mkuu wa nchi na ndio hu-organize mambo kama haya lakini wasichojua ni kwamba wanamharibia Rais
Haya mashindano yanayoitwa Samia Cup lengo lake ni nini? Tukisema kuna faction ndani ya CCM inafanya kampeni kabla ya muda huwa mnakata nini?