Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

Tunatumia kwa Bluetooth, yaani umeishika mkononi huku umevaa kidude kidogo sikioni...sasa km ww unapokea simu na kuliweka li iPad lizima lizima sikioni angalia usije gongwa na gari maana obviously hutaona upande wa pili, na pia utaonekana mshamba mno.
 
hata niwe na smart ngap pembeni lazma niwe na kijinokia changu safi kbsa, miaka mia siwez kosa nokia
 
Hahaha hutaona upande wa pili...

Kwahiyo ana tablet kubwa kama sinia
 
wazungu wana nia mbaya na sisi lengo lao wanaume nao watembee na hand bag wazd kupata soko kwa mazwazwa watakaokua tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…