Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

Si bora masikioni uliza huko mifukoni yanakaaje?maana mengine ni makubwa ukifanya mchezo yanaweza kukuvua suruali.
 
Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
hahahah daah hapo ndo nnapopapendea,yaani hadi ukiwa na 200 unapata msosi!supu yako ya 300 miksa mabagiabagia yale saafi.
 
hahahah daah hapo ndo nnapopapendea,yaani hadi ukiwa na 200 unapata msosi!supu yako ya 300 miksa mabagiabagia yale saafi.
Wikiendi nafungaga mtaa Basi Mbili nzima, nanunua zangu viazi vitamu vya kukaanga arobaini, au hata hamsini, nikila asubuhi sili mpaka kesho yake.
 
Supu gani 200 mkuu? Angalia isijekuwa supu ya kunguru ,au ile ya Iringa(dog)[emoji3] [emoji3]
Siye hatujui hiyo, iwe ya kunguru, iwe ya dog, kimpango wao, ili mradi iwe ya bei rahisi twende kazi.
Ni sawa na demu anakupikia chakula halafu anajushtukia hakijaiva, kiive, kisiive mi' sijui, mi' nakula tu. Tena kisipoiva ndiyo fresh, ataacha kula halafu mimi namalizia chote!
 
hahahah daah hapo ndo nnapopapendea,yaani hadi ukiwa na 200 unapata msosi!supu yako ya 300 miksa mabagiabagia yale saafi.
kuna kitu nilikishangaa Dodoma,kuna mama ntilie wapo nyuma ya msikiti wa Gadafi kule,saiv pana foleni utafikiri wanasubiri usafiri wa mwendokasi,kisa panauzwa chai chapati na maharage ya kuchemshwa,nilishangaa sana kuona yale mafuriko ya watu,hadi leo naamini pale wanatumia dawa,binafsi siwezi kwenda kukaa foleni nasubiri chapati maharage,niliamua kumkacha mwenyeji wangu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…