Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Habari zenu?
Nmekutana na baadhi ya watu wakitamka haya maneno...
1-Msa=Musa.
2- Mk*ndu=Mwekundu.
3- Mwananke= Mwanamke.
4- Leli=Reli.
5- Reri= Reli.
6-...................
7-....................
Endeleza!
Si rahaja(lahaja) wala rafidhi(lafidhi)...naona umetutega XP.Kwa kiswahili tunasema rahaja na wakati mwingine ni rafidhi ya watu washio maeneo mbali mbali.
nanihii=nanihino.mi mwenyewe huwa hili neno nalisahau sana<br />
chengine = kingine<br />
naniliu = nanilii (au yote sio maneno ya kiswahili)
Ukikaa na washihir utacheka sana!Maalim umenichekesha sana...yaani bila kutaja yale mambo siku haijaenda kabisa.<br />
hapo namba mbili umelazimishia labda utuambia unamaanisha nini hasa...
Nkate=mkate. Nchuzi=mchuzi. Laisi=rais. Bola=bora. Lafiki=rafiki. Ntoto=mtoto. Lambilambi=rambirambi. Duh hayamaliziki yako mengi mno.
1-mee1.mbusi=mbuzi
2.zizimisi=sisimizi