M MOMO Member Joined Feb 10, 2008 Posts 83 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #1 Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am getting irritated by this.
Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am getting irritated by this.