Haya matukio yalinifanya niamini uchawi upo

As always hearsay stories zinazoaminiwa na watu wajinga. Hata mimi naweza kukwambia jirani yangu mmoja alienda mbinguni mwingine alienda sayari ya Pluto kama wewe ni zwazwa enough utaamini.

Hizi story unazikuta JF tu huwezi zikuta Reddit, Quora, and other worldwide forums. Hii inaishushia hadhi JF.
 
πŸ“Œ
 
Uchawi hupo Sawa, lakini hizo story kama umetupanga vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…