Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu.

Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano.

Unaweza kula yakiwa yamepikwa kwenye matoke au kula ambayo hayajapikwa.

FvMrGGMWYAAPfC2.jpg


3.jpg
2.jpg
 
Ebitomasi yanapatikana mkoa upi?
 
Wanyakyusa wanaita Matunda Damu.

Yamejaa mbeya na tukuyu huko rungwe
 
Haya ni mengi sana Lushoto. Dar yanauzwa njia ya watembea kwa miguu mkabala na makao makuu ya SIMBA S.C. pale Msimbazi. Lakini mda wa jioni
 
Back
Top Bottom