Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

Ebitomasi yanapatikana mkoa upi?
 
Wanyakyusa wanaita Matunda Damu.

Yamejaa mbeya na tukuyu huko rungwe
 
Haya ni mengi sana Lushoto. Dar yanauzwa njia ya watembea kwa miguu mkabala na makao makuu ya SIMBA S.C. pale Msimbazi. Lakini mda wa jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…