Haya matunda ya mvuti huwa yanajiotea porini, kumbe yanauzwa ghali

Vipi kuhusu Matunda ya Mchamzi na Msongora... nadhani Mivinje ndio mti usio na Matunda
 
Niko nayo kwa shamba ni vitunda flani vinafaa sana ukiwa umetulia umejaa mahaba tu ndipo utauhisi utamu wake, vinginevyo utakuwa unaviaibisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…